Home HABARI MPYA Kigali: Lori yawaangukia wasiojulikana idadi yake
HABARI MPYA - July 28, 2019

Kigali: Lori yawaangukia wasiojulikana idadi yake

Lori yenye mwendo wa kasi kwa mujibu wa mashahidi imewaangukia wasafiri mjini Kigali, eneo la Masizi, Wilayani Gasabo.

Wawili waliokuwa ndani ya lori wamejeruhiwa sana na mwendeshabasikeli mmoja amepatikana mahututi.

Mashahidi wamesema kuwa ajali imetokea mahali kwenye watu wengi na hawajui idadi ya walioangukiwa na lori.

Msemaji wa Polisi ya Barabarani, SSP Jean Marie  Ndushabandi amesema watu wawili wamejeruhiwa hapo hapo , halafu wakapelekwa hospitalini.

Imeripotiwa kwamba dereva wa lori amekimbia kisigino kisogoni baada ya ajali.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Check Also

Wanyarwanda washauriwa kutokwenda nchini  DRC

Waziri wa Afya nchini Rwanda,  Dkt. Diane Gashumba amewashauri wananchi kutokwenda nchini …