Home SIASA Aliyekuwa mkuu wa walinzi wa Rais Kagame aendelea kufungwa
SIASA - July 13, 2019

Aliyekuwa mkuu wa walinzi wa Rais Kagame aendelea kufungwa

Kanali Tom Byabagamba ambaye  aliwahi kuwa  mkuu wa walinzi wa Rais Kagame aendelea kufungwa kwa mpito.

Mahakama jana imepiga marufuku rufaa aliyepiga mwiezi michache iliyopita.

Kanali Byabagamba aliomba kuachiwa huru kwa dhamana kwani anafungiwa karantini yaani kufungwa kinyume na sheria.

Mahakama iliamua madai yake hayana msingi na kwa hiyo ataendelea kufungwa.

Pia mahakama imepiga marufuku madai ya wenzake, Brig. Jenerali Frank Rusagara na Sajenti Francois Kabayiza.

Byabagamba alihukumiwa mwaka 2016 kufungwa miaka 21 juu ya uhalifu wa kuhatarisha usalama wa nchi, kudharau bendera na uchochezi.

Hata hivyo, alisikika mala kadhaa mahakamani akilaani mashtaka yote.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Check Also

Wanyarwanda washauriwa kutokwenda nchini  DRC

Waziri wa Afya nchini Rwanda,  Dkt. Diane Gashumba amewashauri wananchi kutokwenda nchini …