Home HABARI

HABARI

 • Rubavu: Amuua mkewe kwa kumkata shingo

  Mwanaume,  Mahangayiko amemuua mkewe Uzamukunda kwa ajili ya mali. Majirani wamesema wawili waliwahi kufarakana juu ya ugomvi. Kisa hicho, kwa wajibu wa mashahidi Mihangayiko amemkuta mkewe katika shamba la miwa na kumkata shingo kwa kutumia mpanga. Viongozi wa ngazi za chini wamehakikisha taarifa hizo.

  Read More »
 • AY afunguka kuhusu kuachana na mkewe kutoka Rwanda

  Msaani Ambwene Yesaya amefunguka kuhusu taarifa kwamba aliachana na mkewe kutoka Rwanda Remi Umunyana. AY na Remi walifunga ndoa rasmi miaka miwili iliyopita chini Tanzania na walibalikiwa na mtoto wa kiume. Akieleza kuhusu taarifa za kuachana na mkewe, AY ameambia Clouds FM kuwa ni uongo mtupu na ndiyo maana hakuzungumzia…

  Read More »
 • Magharibi:  Afanya mapenzi na watoto watano wenye umri wa miaka 12

  Marc Nizeyimana, mkazi Wilayani Nyabihu, magharibi mwa Rwanda amekamatwa  baada ya taarifa kuenea kuwa aliwafanya mapenzi na watoto wa kike watano. Viongozi wa ngazi za chini wamesema mtuhumiwa alifanya hayo wakati mbalimbali na imejulikana baada ya kumbaka mmoja wa miaka tisa. Baada ya hilo, wengine wanne wamejitokeza na kusema kwamba…

  Read More »
 • Kusini: Awakata  kwa mpanga watatu, mmoja akafariki

  Mwanamume ambaye anaishi  mjini Kigali amewakata watu watatu na kumuua mmoja wao  Wilayani Kamonyi, Kusini mwa Rwanda. Mmoja amefariki alipofika hospitalini Mjini Kigali. Haijatangazwa bado sababu ya kisa hicho. Hata hivyo, Msemaji wa Ofisi ya Uendeshamashtaka nchini (RIB), Modeste Mbabazi ameeleza wamemkamata  kutambua chanzo cha jambo hilo.

  Read More »
 • Kigali: Wafungwa wafanya linalohusishwa na maandamano

  Wafungwa wa Gereza ya Mageragere Mjini Kigali wamefanya jambo linalohusishwa na maandamano. Imeripotiwa wafungwa walipiga marufuku Mkurugenzi mpya wa Gereza, Kayumba ambaye wamesema ni hodari kwa mambo ya kuwatesa wafungwa. Viongozi wa Ofisi ya Magereza nchini (RCS) wamesema si maandamano kama ilivyoripotiwa baali ni suala la usalama ambako wafungwa walifanya…

  Read More »
 • Tunawajua wanasafirisha dawa za kulevya ndani ya sehemu nyeti- SP Gatabazi

  Polisi Wilayani Karongi imesema inajua ujanja wote unaotumiwa kusafirisha dawa za kulevya hata na ule wa kutumia sehemu nyeti. “ Wanatumia ujanja sana kama vile kubeba mgongoni kama watoto, jambo ambalo linahuzunisha. Ujanja wote tunaujua hata na wale wanaotumia sehemu nyeti zao.’ SP Gatabazi, Kiongozi wa Polisi Wilayani amesema Kwa…

  Read More »
 • Madaktari  wakamatwa kwa kuwapokonya watoto wenye ukimwi

  Ofisi Kuu ya Undeshamashtaka nchini (RIB) imetangaza kwamba imewakamata madaktari wawili wanaotuhumiwa kupoteza fedha za watoto wenye virusi vya ukimwi. Waliokamatwa ni Mukasine Clemence na  Jean Marie Vianney Rukeraho. Msemaji wa RIB, Modetse Mbabazi amesema fedha zilizoibiwa ni msaada wa Globa Fund. Upelelelezi unaendelea kuhusu kesi hii.  

  Read More »
 • Tulipokewa kama maraisi- waimbaji kutoka Tanzania wakishukuru Polisi ya Rwanda

  Waimbaji 125 wa Kwaya ‘Blessed Maria Theresa Ledochowska’ kutoka Mjini Dodoma, Tanzania wameshukuru Polisi ya Rwanda kwa mapokezi na ilivyowasindikiza kutoka mpaka wa Rusumo kufika Kigali. Kwenye ziara yao wiki iliyopita tarehe 28 Juni mwaka huu, walitembelea Kwaya ya kikatoliki “Il est vivant kumaanisha ‘Mungu ni hai’ ya Mjini Kigali,…

  Read More »
 • Kigali: Mwanamke afariki akiwa kanisani

  Mwanamke kwa majina ya Anne Uwimana jana saa nane mchana aliaga  dunia alipokuwa kanisani  Methodiste, Wilayani Gasabo mjini Kigali. Wakristo wenzake wamesema walimuona akianguka chini kidogo wakadhani ni uhaba wa hewa. Walipoita gari la waginjwa, Uwimana alikuwa ameisha fariki. Kiongozi wa kijiji, Etienne Nzajyibwami amesema malehemu amehakakisha taarifa hizo na…

  Read More »
 • Binti Rais Kagame kufunga ndoa kesho

  Inatarajiwa kwamba  binti wa Rais wa Rwanda, Ange I.Kagame ataolewa kesho tarehe 6 Julai na mvulana aitwaye Bertrand Ndengeyingoma aliyesomea Marekani. Taarifa za ndoa yake ziliwekwa hadharani na babaye, Paul Kagame tarehe 27 Juni alipokuwa nchini Botswana kwa ziara ya kikazi ya siku mbili. Ilikuwa ni mala ya kwanza Rais…

  Read More »
 • Kigali: Watoto wawili wafariki baada ya nyumba kuchomwa

  Watoto wawili  imeripotiwa wamefariki baada ya godora waliokuwa wakilalia kuchomwa na mshumaa uliokua chumbani mwao. Malehemu ni Ngabonziza Ganza Christian,3, na nduguye Ngabonziza Iranzi Blessing,2. Msemaji wa Polisi Mjini Kigali, CIP Marie Gorette Umutesi amesema tukio hili lilitokea jana usiku ambako mfanyakazi wa ndani,18, aliwasha mshumaa kisha akaenda dukani kununa…

  Read More »
 • Mwili wa mwanamke wapatikana Ziwani baada ya siku moja ya harusi

  Mwanamke Christine Mukarurema amepatikana amefariki akiwa Ziwani Kivu baada ya siku moja ya ndoa Wilayani Rusizi. Mumewe Emmanuel Niyigena ameambia vyombo vya habari nchini Rwanda kuwa malehemu alimuambia amekwenda chooni kisha akaenda bila kurudi. Katibu Mtendaji wa Tarafa ya Nkaka, Nyirazaninka Antoinette, amehakikisha hizi taarifa. “  Walifunga ndoa Jumamosi. Siku…

  Read More »
 • Mnyarwanda aunda roboti inayotumia lugha tatu

  Mnyarwanda kutoka Mkoa wa Kusini, Janvier Nsengiyumva aliunda roboti ya kike yenye lugha nne; Kinyarwanda, Kifaransa na Kingereza. Nsengiyumva ametangazia  magazeti nchini Rwanda roboti kwa jina la Mukamana lilianza kufanya kazi mwezi Machi 2019. Nsengiyumva amesema roboti hii inaweza kuendesha gari, kufundisha wanafunzi, kuchunguza  vitambulisho kwenye uwanja wa ndege na…

  Read More »
 • Kigali: Mwana wa miaka 14 adaiwa kujiua

  Brian Murera, mtoto wa miaka  adaiwa kujiua jana uskiku Wilayani Kicukiro Mjini Kigali kama inavyohakikishwa na baba yake. Majirani wameambi wendeshamashtaka na viongozi wa ngazi za chini kwamba ianwezekana kuwa malehemu aliuawa na baba yake pamoja na mfanyakazi wa ndani. Katibu Mtendaji wa Tarafa ya Gikondo, Suzane Mukasano ameambia mtandao…

  Read More »
 • Afariki akielekea hospitali mjini Kigali

  Innocent Hakuzimana, 42, amefariki alipkuwa akielekea hosptali CHUK Mjini Kigali. Wanafamilia wake wameambia Gazeti la Igihe kwamba alikuwa mgonjwa kwa muda mrefu. Shahidi, Faustin Bizimana amesema: “ Tumemuona ghafla ameanguka, tulipomgusa tumeona kwamba ameifa aga dunia.” Mwili wa malehemu umepelekwa Hospitali Kacyiru kufanyiwa uchunguzi wa chanzo cha kifo chake.

  Read More »