Home KIMATAIFA Kigali: Kumeanzishwa kesi ya waliojiunga na wanamgambo wa Jen. Kayumba nchini DRC
KIMATAIFA - SIASA - USALAMA - 3 weeks ago

Kigali: Kumeanzishwa kesi ya waliojiunga na wanamgambo wa Jen. Kayumba nchini DRC

Watu 25 wamesimama kizimbani mahakamani Nyamirambo kwa mashataka ya kujiunga na wanamgambo wa chama cha Jen. Kayumba Nyamwasa nchini DRC kwa kulenga kuvuruga usalama wa nchi.

Washatakiwa wakiwemo Maj. Mudathiru na mwenzake Luteni Patrcik Nsanzimana na wenzao wamefika mahakamani leo tarehe 2 Octoba mwaka huu.

Wengi mwao ambao ni vijana wameambia hakimu kuwa wanatoka mahali mbalimbali kama vile Burundi na nchini Uganda.

Walikamatwa walipokuwa nchini DR Congo wakati wa opereshen dhidi ya wanamgambo.

Wanashtakiwa kulenga kuvuruga usalama wa nchi, kujiunga na wanamgambo na kuhusudia kufanyia mabaya utawala wa nchi.

Hakimu anachunguza kama wataachiwa huru wakati wa kesi hio.

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Check Also

Rubavu: Wakazi walalamika juu ya kelele kutoka baani

Wakazi Mjini Rubavu wameeleza kero zao kutokana na kelele kutoka mziki kutoka baani za mji…