Home HABARI MPYA Kigali: Mvulana na ndugu ye wa kike waka nje wiki mbili baada ya nyumba yao kubomolewa
HABARI MPYA - July 31, 2019

Kigali: Mvulana na ndugu ye wa kike waka nje wiki mbili baada ya nyumba yao kubomolewa

Chance Hitamoyesu na nduguye wa kike, Soleil Kiberinka wanaishi nje  kwa wiki mbili baada ya nyumba yao kubomolewa na viongozi Wilayani Kicukiro, Mjini Kigali.

Mama mzazi wao, Ancilla Mukayisenga ni mfungwa na mjomba wao aliyojenga nyumba hiyo, alifariki ukimbizini nchini Ufaransa.

Nyumba hiyo kama wanavyoeleeza, ilibomolewa juu ya ugombi wa ardhi inayokuwemo.

“ Tumekaa hapa wiki mbili bila viongozi kutujali.”

Nyumba yao iliyobomolewa

Viongozi wamesema wanatatua suala hilo kuhusu uwenyeji wa ardhi hiyo.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Check Also

Wanyarwanda washauriwa kutokwenda nchini  DRC

Waziri wa Afya nchini Rwanda,  Dkt. Diane Gashumba amewashauri wananchi kutokwenda nchini …