Home HABARI Magharibi:  Afanya mapenzi na watoto watano wenye umri wa miaka 12
HABARI - July 23, 2019

Magharibi:  Afanya mapenzi na watoto watano wenye umri wa miaka 12

Marc Nizeyimana, mkazi Wilayani Nyabihu, magharibi mwa Rwanda amekamatwa  baada ya taarifa kuenea kuwa aliwafanya mapenzi na watoto wa kike watano.

Viongozi wa ngazi za chini wamesema mtuhumiwa alifanya hayo wakati mbalimbali na imejulikana baada ya kumbaka mmoja wa miaka tisa.

Baada ya hilo, wengine wanne wamejitokeza na kusema kwamba alifanya mapenzi nao.

Mtuhumiwa ana mwanamke na wawili walibalikwa na watoto wawili siku zilizopita.

Kiongozi kijijini huko, Cansilde Umurerwa ameeleza Marc aliwahi kukamatwa kwa uhalifu sawa na huo lakini akaachiwa huru baadaye.

Akipatwa na hatia, mtuhumiwa atafungwa maisha jela kwa mujibu wa sheria.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Check Also

Wanyarwanda washauriwa kutokwenda nchini  DRC

Waziri wa Afya nchini Rwanda,  Dkt. Diane Gashumba amewashauri wananchi kutokwenda nchini …