Home HABARI MPYA Mashariki: Mchungaji wa ng’ombe atuhumiwa kumbaka bintiye bosi
HABARI MPYA - July 23, 2019

Mashariki: Mchungaji wa ng’ombe atuhumiwa kumbaka bintiye bosi

Mchungaji wa ng’ombe, Peter, 18, amekamatwa kwa tuhuma za kumbaka bintiye bosi wake.

Kiongozi wa Kijiji,  Eulade Hategekimana amesema Peter anatuhumiwa kumbaka msichana wa miaka 12 wakati wazazi hawakuwepo nyumbani.

Mtuhumiwa anatimiza miaka minne akichunga ng’ombe za bosi wake. Wazazi wamesema alikuwa kama mtoto wao.

Mtuhumiwa amepelekwa kwenye kituo cha Polisi halafu msichana akalazwa hospitalini kufanyiwa uchunguzi wa hali ya maisha yake.

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Check Also

Wanyarwanda washauriwa kutokwenda nchini  DRC

Waziri wa Afya nchini Rwanda,  Dkt. Diane Gashumba amewashauri wananchi kutokwenda nchini …