Home HABARI MPYA Rais Kagame kukutana mwenzake Nkurunziza baada ya muda mrefu
HABARI MPYA - SIASA - 2 weeks ago

Rais Kagame kukutana mwenzake Nkurunziza baada ya muda mrefu

Rais Kagame Paul wa Rwanda na mwenzake wa Burundi, Pierre Nkurunziza watakutana kesho tarehe 8 Agosti mwaka huu baada ya miaka 4 bila hilo kutokea.

Inatarajiwa kwamba wawili watakutana wakati shereye ya kuanzisha rasmi maabara ya mambo ya ukulima Mjini Bukavu, nchini RDC.

Kwa mujibu wa matandao diaspordc.com  kwenye sherehe hiyo kutakuwepo viongozi kutoka Benki ya Afrika ya Maendeleo (BAD) na wa Benki ya Dunia.

Atakuwepo pia Rais wa DRC, Felix Tshisekedi kwenye sherehe.

Rwanda haijahakikisha kama Rais Kagame atahuduhuria, ila inavyojulikana ni kuwa kuna msuguano kati ya Rwanda na Burundi tangu mwaka 2015 juu ya manduzi yaliyoshindwa kufua dafu.

Burundi ilitangaza Rwanda ni adui wake. Pia miaka nenda rudi imepita Rais Nkurunziza hatoki nchini mwake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Check Also

Rubavu: Wakazi walalamika juu ya kelele kutoka baani

Wakazi Mjini Rubavu wameeleza kero zao kutokana na kelele kutoka mziki kutoka baani za mji…