Home HABARI Rubavu: Amuua mkewe kwa kumkata shingo
HABARI - August 31, 2019

Rubavu: Amuua mkewe kwa kumkata shingo

Mwanaume,  Mahangayiko amemuua mkewe Uzamukunda kwa ajili ya mali.

Majirani wamesema wawili waliwahi kufarakana juu ya ugomvi.

Kisa hicho, kwa wajibu wa mashahidi Mihangayiko amemkuta mkewe katika shamba la miwa na kumkata shingo kwa kutumia mpanga.

Viongozi wa ngazi za chini wamehakikisha taarifa hizo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Check Also

Rubavu: Wakazi walalamika juu ya kelele kutoka baani

Wakazi Mjini Rubavu wameeleza kero zao kutokana na kelele kutoka mziki kutoka baani za mji…