Home HABARI MPYA Rwanda:  Kiongozi Wilayani ampiga na kumjeruhi mkewe
HABARI MPYA - August 30, 2019

Rwanda:  Kiongozi Wilayani ampiga na kumjeruhi mkewe

Makamu Kiongozi kwa Wajibu wa Maendeleo ya Kiuchumi Wilayani Musanze, Augustin Ndabereye amekamatwa kwa kumpiga na kumjeruhi mkewe, 30, usoni na kwenye paja.

Daktari ambaye hakutaka jina lake lijulikane amehakikisha mwanamke huyo amejeruhiwa kwenye paja upande wa kushoto.

Ofisi Kuu ya Upelelezi Nchini Rwanda (RIB), imehakikisha taarifa kupitia ukurasa wake wa Twitter.

Mtuhumiwa amefungwa kwenye kituo cha polisi Mjini Musanze.

 

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Check Also

Rubavu: Wakazi walalamika juu ya kelele kutoka baani

Wakazi Mjini Rubavu wameeleza kero zao kutokana na kelele kutoka mziki kutoka baani za mji…